2 Timothy 4:6-8

6 aKwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia. 7 bNimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda. 8 cSasa nimewekewa taji ya haki ambayo Bwana, mwamuzi wa haki, atanitunukia siku ile: wala si mimi tu, bali pia wote ambao wamengoja kwa shauku kudhihirishwa kwake.

Maelekezo Ya Binafsi

Copyright information for SwhKC